
MSASA Podcast
KARIBU MSASA.
A show where we talk to successful people about FAILURE.
MSASA Podcast
Shughuli ni Watu
•
Elisha Simon
•
Season 2
Episode hii na Seba Kolowa ni shuhuda ya jinsi kijana unavyoweza kupiga hatua kutoka ulipo, mpaka pahala pengine kwa vile ulivyonavyo na vingine vya kuvitafuta.