MSASA Podcast
KARIBU MSASA.
A show where we talk to successful people about FAILURE.
Episodes
28 episodes
From passion to profit
What happens when you're a creative but the hustle demands you be a businessman too? #Today we sit down with the fabulous hustler Ally Rehmtullah to unpack the chaos, the challenges, and the compromises of balancing artistry with #e...
•
Season 2
•
48:57
From Child to Breadwinner
Today, we’re thrilled to host Khalila Mbowe, also known as Kellz—a visionary social entrepreneur and the founder of Unleashed Africa. Her organization is dedicated to empowering East African youth through the arts, leadership, and entrepreneurs...
•
Season 2
•
1:27:05
Baharia Mwenye SWAG
J2 hii on the #MsasaPodcast @Mtani_bespoke AKA Fundi ,tafuta mkasi, uzi na kiwembe, maana Msasa wa leo ni wa kitambaa. Tune in to find out how @mtani_bespoke tailored a life that ...
•
Season 2
•
1:04:30
Miaka 20 Kwenye Game na Bado Anakimbiza
Karibu kwenye #MsasaPodcast! Tunamkaribisha Jay Moe, mkongwe mwenye zaidi ya miaka 20 ya uzoefu katika kuburudisha Watanzania kwa nyimbo zenye mafumbo na ujumbe mkali kupitia muziki wa rap. Tutachambua safari ya muziki na mabadiliko ya tasnia y...
•
Season 2
•
1:20:38
Furaha yako ni Jukumu Lako
Jiunge nasi kwenye #MsasaPodcast tunapomkaribisha Lumulike Mengele A.K.A Muli B, mfanyabiashara na DJ maarufu mwenye zaidi ya miaka 20 katika tasnia ya Bongo Flavor. Tutaangazia umuhimu...
•
Season 2
•
1:10:17
The Silent Loud One
Being #different from the your competitors isn’t enough to win the market, so what is?Leo tumemkaribisha a media buying expert akituelezea jinsi #effectivebranding inaweza kutusaidia kuboresha na kukuza #biashara zetu. #msa...
•
1:10:43
Leave Room For Magic
Hakuna neno la ukweli lenye ladha ya asali, je akili yako inapokea uhalisia?Usikose madini ya vichwa vitatu kutoka H_art the band on #msasapodcast on this very
•
Season 1
•
1:24:11
The Godfather of Comedy
Sometimes getting out of #comfortzone is the key to many doors that you wouldn’t have opened otherwise.Leo tumemkaribisha Godfather wa comedy Tanzania Evans Bukuku akitupa his personal experiences zenye #Msasa ndani yake that are guaran...
•
1:54:32
Oxygen is Free
The future of entrepreneurship in Africa it’s not just promising - it’s already unfolding na Kuna msemo wa Kiafrika unasema “Ukitaka kwenda haraka, nenda peke yako, ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako” Leo kwenye
•
Season 1
•
1:19:52
Maisha na Sauti Ya Guitar
Kama wewe ni msanii au unataka kuwa msanii hii episode inakuhusu, Utapata kujua uhalisia wa Sanaa and what it takes to thrive in this industryLeo tumekaribisha Grace Matata, Tanzania's beloved Afro soul singer, to share her personal insight...
•
Season 1
•
1:00:41
Buckle up! Life is not free
Refuse to let life happen to you - make it happen! Join us for a raw chat with Daniella Kwayu, a serial entrepreneur, economist, agriculture enthusiast and a founder of Pherma Agri and get ready to toughen up, take charge and take up space in a...
•
Season 1
•
1:20:45
Bobby West Goes to Town
When the going gets tough, the tough gets going. Kwenye hii episode Bobby anatuelezea #changamoto mbali mbali alizokutana nazo kwenye maisha yake, lessons alizojifunza na njia anazotumia ...
•
Season 1
•
1:21:12
Mwanajeshi na Nyota
Ukiona vyaelea ujue vimeundwa - Unamjua aliyeiunda EvoNem health App? Basi leo ndo yuko #msasani akitupa the ups and downs of building a #business in today’s world. From resilience in the face of #challenges to seizing opportunities for #growth...
•
Season 1
•
1:15:18
The Curious Case of Arthur Kyara
kwenye game ya biashara, lazima ujue ni nini kinapiga kazi na nini hakiendi, otherwise utakuwa unapoteza muda na pesa. Na pia kwa vyote unavyofanya Mungu ndo caption number moja.Leo tumemkaribisha the man of God ambaye pia ni mtaalam wa...
•
Season 1
•
1:06:10
Saturn's Return
Ulipotoka unakuja unakokwenda haukutambui - everything that happens happens for a reason/ there’s a reason behind every twist and turn in lifeJoin us for an enlightening and laughter-filled episode featuring the one and only Deogratius, a m...
•
Season 1
•
53:52
Ukitaka kusikilizwa, sikiliza kwanza
Determination: the stubborn refusal to let life’s #challenges turn you into a soggy sponge On this episode, we dive into the world of resilience and #determination with Edwin Musiba, the Founder & CEO of Salt Media Co#msasa...
•
Season 1
•
1:26:28
Usionyeshe Tatizo, Onyesha Suluhu
Care is the name of the game....join us as we talk what it takes to go above and beyond. Tune in kwenye #MsasaPodcast with Jacqueline Lawrence entrepreneur and director of @mbeyah...
•
Season 1
•
1:02:59
Kujiajiri sio kutoka
With freedom comes great responsibility. Jiunge nasi kwenye #msasapodcast na Tech Guru & Entrepreneur Ng’winula Kingamkono as we talk what it takes to succeed in business.Us...
•
Season 1
•
56:25
Pleasure, Passion & Pain na Baba Ushauri
Lessons in Life are numerous ila mwisho wa siku #maamuzi ya kutisha nayo ni ya kwako. #Jikubali
•
Season 1
•
54:43
Mungu akitaka kukutumia hakuandikii barua
Kila mtu ana nafasi yake .Hata kama kwa nje wito utaonekana kufanana haina maana wito wa mtu mmoja na mwingine unafanana.Jiunge nasi leo tuki pata Msasa kwa Gwamaka Mwakalinga talking about his call to greatness. Guest: Gwa...
•
Season 1
•
1:12:53
Hatua ya kwanza ya kutoboa ni kufeli
Waswahili wanasema ukimpiga teke chura, unamuongezea mwendo. 🔥Kwenye episode hii tunapata madini raw kabisa from Fredrick Bundala AKA Sky, living proof of the fruits of perseverance.Guest: Sky Instagram: https://www.insta...
•
1:27:18
'Angalia dunia kupitia lense ya uhalisia' na Kennedy Mmari , Founder of Serengeti Bytes
Kutofautisha ukweli na uhalisia ni kitu muhimu kwenye utafutaji, chamsingi ni utayari kuelewa karata yako umeitupia wapi.Jiunge nasi kwenye #Msasapodcast na Kennedy Mmari CEO of Serengetibytes #matarajio #biashara #halisia ...
•
Season 1
•
1:23:02
'Unahitaji kufanya kazi,Kupata Kazi' with Lillian Madeje, Founder of Niajiri Platform
Waswahili wanasemaga, ujanja kuwahi na mwenye nacho hongezewa. Je, umejiongeza mpaka wapi nawe uongezewe?Join us on this episode of #MsasaPodcast with Lillian Madeje, Entrepreneur & Founder of the Niajiri Platform as we ...
•
Season 1
•
1:19:50
Kamati Ya Kichwa with Clay, the CEO of ChekaPlus TV & Co-founder of ChekaTu.
We una watu wangapi kwenye Kamati yako?Exploring the Good, the Bad and the Funny, with Clay Kennedy Masiga, akitoa madini jinsi anavyo disconnect ili kuja na mizinga ya ideas, the reality of events, finding things that introduce us to t...
•
Season 1
•
1:15:18