
MSASA Podcast
KARIBU MSASA.
A show where we talk to successful people about FAILURE.
MSASA Podcast
Matamu na machungu ya kutafuta mafanikio
•
Elisha Simon
•
Season 3
Daktari wa camera mbele ya camera za Msasa , hadithi zinazopigwa humu ni maisha, kuishi , wakati , kufeli , kupanda na kushuka bila bei kushuka.
Inapatikana kesho mapema kwenye digital platforms zote.
#msasa #hanscana #kubeti