MSASA Podcast
KARIBU MSASA.
A show where we talk to successful people about FAILURE.
MSASA Podcast
Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY
Use Left/Right to seek, Home/End to jump to start or end. Hold shift to jump forward or backward.
Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana.
Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua.
Lakini kwenye safari hii ya kutafuta, kujijenga na kufanikiwa, kitendawili cha kijana kufanikiwa kinatenguliwaje na nani anahusika kutengua?
Kwenye Episode yetu ya pili, tuko na Allan Lucky, na anatupiga msasa wa kwa nini kitendawili hiki ni cha kaa kule, nikae huku, tumfinye mchawi. 😅
Kila mtu kwenye jamii ana nafasi katika kutengua kitendawili cha kijana kufanikiwa - kuanzia familia, malezi, mazingira, mifumo, hadi kijana mwenyewe.
Na kama jamii ikifeli kutengua hiki kitendawili, kijana anakuwa na hali gani?
Karibu tupate msasa.
Guest: Allan Lucky
Instagram: / allanlucky
#MSASAPodcast #Ujana #TanzanianYouth #YouthDevelopment #YouthEmpowerment #AllanLucky
Host: Hisia
Instagram: / hisiatz
MSASA PODCAST 🎙
Website: https://neiked.co.tz/msasa/
Follow the MSASA Podcast on WhatsApp:
https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...
Available on all streaming platforms.