MSASA Podcast

Sina Kazi Naishi Ninavyotaka

Elisha Simon Season 3

Send us a text

Hii version ya Msasa inaitwa “tega sikio, pesa inaongea”. Hapa stori ni jinsi gani unaweza kutumia hela kutengeneza hela  wapi, kwa namna gani, kwa kipindi gani, na ukiwa na malengo gani. Bila kusahau, kwenye kutafuta hela kuna maisha pia. Je, unastaafu vipi? 


Watch out new episode ya Msasa na @neema_chamy, inapatikana kwenye digital channels zote.

Tafadhali share episode hii adimu kwa mtu ambaye ungetamani apate madini kuhusu pesa.


#msasapodcast #tegasikio #pesainaongea #richauntievibes #moneytalks #financialfreedom.